Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Msanii wa Next level tuhuma za utapeli kwa mwanafunzi wa chuo kikuu kijitonyama|Dsm.
📌Habari kamili.
Na Hemedyjrjunior.
👇
Macvoice ni msanii tokea lebal ambayo inamilikiwa na Rayvanny au Vannyboy , ambayo inafahamika kama Next level inayopatikana Dar es salaam Tanzania.
Moja ya story ambazo zimesambaa kwenye vyombo vya habari ni kwamba Macvoice alimlaghai mtoto wa kike ambaye ni mwanafunzi wa chuo kikuu pale Kijitonyama
Story iko hivi.. Walianza kufahamiana kupitia mtandao wa kijamii wa Instagram mwisho wa siku binti aliomba waonane ili aweze kuthibitisha kuwa aliyekuwa akichat nae ni Macvoice mwenyewe au laa". Mwisho wa siku wakaonana lakini binti anadai hakumuona vizuri kwa kumkariri maana Macvoice alinambia kuna sehemu anawahi na yuko na haraka sana.
Binti hakujali Mahusiano yakaendelea, kuna kipindi Macvoice alidai ana shida ya laki 2 na hana wa kumsaidia ila msaidizi pekee ni huyo mpenzi wake na wala sio mwingine.
Binti akampatia hiyo hela, mwisho wa siku akaunti ikabadilishwa jina mara mambo mengi ,
Macvoice akawa anapigiwa simu anapokea lakini kuhusu hela hampatii mwisho binti akaamua kwenda kushitaki
Japo bado issue inaendelea. Fuatilia mwendelezo
Story nzima iko YouTube
Chanel yangu Kimodomsafi