Msanii Mainda Abadili Dini na Kumpoke Yesu

MaxShimba

JF-Expert Member
Joined
Apr 11, 2008
Posts
35,771
Reaction score
4,065
MSANII wa filamu ambaye alikuwa Muislam na baadaye kuamua kuingia kwenye Ukristo na kuokoka, Ruth Suka ‘Mainda’ sasa anaonekana kupambana vilivyo kuhakikisha anaiboresha imani yake kwa kutembea na Biblia kila anakoenda.

Akizungumza na Ijumaa hivi karibuni, rafiki wa karibu wa Mainda aliyeomba hifadhi ya jina lake alisema kuwa msanii huyo anaonekana kuwa na uchu wa kuijua vilivyo Biblia

“Kwa kweli sasa hivi Mainda hakaukiwi na Biblia mkononi, yeye na Biblia kila wakati. Kuna wakati hata akiwa lokesheni, akipata muda kidogo anaitoa na kuanza kuipitia. Hakika amebadilika,” kilisema chanzo hicho huku maneno hayo yakishibishwa na picha alizotupia Mainda kwenye mtandao wake wa Facebook zikimuonesha akiwa ameshikilia kitabu hicho kitakat
 
Kama dini amebadili yeye na ni maisha yake binafsi, sasa sisi inatuhusu nini! toa upuuzi wako hapa!!!
 
Mmmh mbona kaisha hivo,au kilichomuua Max ndo kimeanza kumtafuna?
 
Kila la heri maana wakati unaokubalika
ni sasa,endelea mbele ndg.
 
Kama kushinda gerage hakukugeuzi kuwa gari, basi kutembea na Biblia hakukugeuzi mkristo.

Kila la kheri dada.
 
wapi hiyo....... Binadamu namfahamu ...sidanganyiki tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…