Amalinze
JF-Expert Member
- May 6, 2012
- 6,780
- 5,305
Habari wanabodi,
Jana nilikuwa naangalia kipindi cha 5gears cha clouds TV kinachorushwa kila jumatatu saa tatu na nusu usiku(marudio 7:30/8:00 mchana Jumanne/Jumamosi),nilishangaa kumuona Matonya akielezea ukwasi wake kuanzia ndinga,nyumba na biashara.
Msanii Matonya anamiliki nyumba kubwa iliyojengwa kwenye kiwanja kinachokaribia nusu eka maeneo ya Bahari Beach na pia ni mfanyabiashara wa magari,magari anayoyauza anayaweka kwenye eneo lililobaki huko Bahari Beach.
Hongera sana Matonya,Kiwanja tu cha nusu eka sehemu ya Bahari Beach ni karibu 400m,ukijumlisha na ile nyumba kinaweza kufikia thamani ya 500m,Pia Matonya anafanya biashara ya kuuza magari yard ikiwa nyumbani kwake Bahari beach.

Msanii matonya akiwa nyumbani kwake Bahari Beach.