Msanii Matonya na utajiri wa kutisha

Amalinze

JF-Expert Member
Joined
May 6, 2012
Posts
6,780
Reaction score
5,305
Habari wanabodi,

Jana nilikuwa naangalia kipindi cha 5gears cha clouds TV kinachorushwa kila jumatatu saa tatu na nusu usiku(marudio 7:30/8:00 mchana Jumanne/Jumamosi),nilishangaa kumuona Matonya akielezea ukwasi wake kuanzia ndinga,nyumba na biashara.

Msanii Matonya anamiliki nyumba kubwa iliyojengwa kwenye kiwanja kinachokaribia nusu eka maeneo ya Bahari Beach na pia ni mfanyabiashara wa magari,magari anayoyauza anayaweka kwenye eneo lililobaki huko Bahari Beach.

Hongera sana Matonya,Kiwanja tu cha nusu eka sehemu ya Bahari Beach ni karibu 400m,ukijumlisha na ile nyumba kinaweza kufikia thamani ya 500m,Pia Matonya anafanya biashara ya kuuza magari yard ikiwa nyumbani kwake Bahari beach.



Msanii matonya akiwa nyumbani kwake Bahari Beach.
 
wivu mbayaaa. kama ni hivo uza na ww upate pesa kama yy tukuone...... mtabak maskin milele kwa attitude hio
 
Tapeli na mdokozi huyo ..muongo muongo...very possible aliazima eneo ili washoot tu..sio wa kumwamini hata kidogo
 
wvu wa nn na we2 fight uciige utajr wa mwenzio hata kama alkuwa akiuuza mshkak n yake cr so ucfe moyo bado safar n ndefu,,,,,bg up tonya
 
Mziki unalipa kweli kama matonya anamiliki mjengo bahari beach.
 
Kwa nini hasa anachofanya.??
 
Mie mwenyewe niliskiaga alidakwa na sembe china akiwa na Rizmoja.mshua alienda kunegotiate yaishe kimya kimya ndio vile meli ya samaki wa magufuli ikaamuriwa wafungwa waachiwe huru na walipwe meli yao kwa thamani ya rizmoja na huyu jamaa sasa sijui lipi la ukweli.ila kuhusu ngada ni kweli alibebaga then ndio after kukamatwa ndio akachenj biashara.
 
awe anauza unga au anauza mahindi,mchele au mafuta muhimu anaingiza mkwanja tu na tena ka kweli anauza ngada bhasi ana akili hadi anakumbuka kujenga wangapi wanaishia kutumia ngada 2,wana athirika sa ye ka anauza freeesh na we uza upate ata robo eka bahari beach
 
siku alipodakwa mashee wa tanga wote walijikusanya walikaa wakaomba dua hadi mti wa mgomba ukanyauka on the spot,uzuri jamaa anajua kuishi na wazee kule tanga wanamkubali hawakuwa tayari kuona analost
 
siku alipodakwa mashee wa tanga wote walijikusanya walikaa wakaomba dua hadi mti wa mgomba ukanyauka on the spot,uzuri jamaa anajua kuishi na wazee kule tanga wanamkubali hawakuwa tayari kuona analost
Tobaaa..mpaka mgomba ukakauka?sio mchezo
 
Hongera yake azidi kujenga moja haitoshi
 
Jamani mi naona a modest house na Toyota brevis....sasa huo UTAJIRI was kutisha uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…