Msanii Moni Centrozone 'amwaga chozi' live kwenye XXL

Darmian

JF-Expert Member
Joined
Oct 1, 2017
Posts
17,289
Reaction score
46,624
Leo nimemsikia Moni Wa Centrozone akilia kwenye kipindi cha XXL cha Cloud's FM wakati kikiwa kinafika mwisho..Nikajiuliza anact au analia kweli??,,inakuaje kwanza mwanaume mzima unalia wakati ukiwa hewani redioni??

Sababu aliyoitoa ni kwamba Adam Mchomvu anamsahau(yeye ndo aliyemtambulisha kwenye game ya hiphop),na pia hakupendezwa na yeye kuulizwa kuhusu Chin Bees kwenye interview yake..Adam alitoka studio na hakusikiliza ngoma mpya ya Moni wakati ikitambulishwa baada ya yeye kuona Moni amemdisrespect kwa kukataa kujibu swali alilomuuliza..

Sio mara ya kwanza wasanii kulia kwenye hicho kipindi..Izzo b acha lia,,Q chilla na wengine

What's wrong kwa baadhi ya hawa wasanii??
 
Public sympathy au ulimbukeni
 
Bongo flava hakuna kitu kazi yao ni copy and paste nyimbo za magharibi,wasanii hata kushika gitaa hajui na bado wizara inawatazama tu wanaiga nyimbo za mabwanyenye utamaduni wetuu uko wapi ???
 
We unasema redioni? Mwaka huu huu tuliwahi kumshudia mkuu wa mkoa flani analia hadharani huku kashika microphone mkononi. Kinachofanya nicheke mpaka leo, ni vipi mtu analia kwenye microphone? Kiki hizi!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…