Msanii Moni kaponda ngoma ya Roma Mkatoliki ya Zimbabwe

Rapa moni anatokea dodoma aliimba viba vya sembe dona, kirikuu.mshikaji wake roma, ngwea na ranga.
 
Sasa kwenye ngoma ya Roma yeye inamuhusu vipi? Yani mwenzie kajilipua kaamsha dude afu yeye analeta stori za ki snitch...na yeye ni MC akajipange atoe ya kwake.
 
Kuna msanii mwingine alikuwa anamdai Joketi hela yake ya video, akamfuata mpaka kwao, sijui ndio huyu? Maana nchi imejaa wasanii hii hata kwa Trump hawaoni ndani.
 
Samahani wakuu huyo moni nae alitekwa pamoja na roma?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…