Msanii mpya kwenye label ya darassa CMG

Joined
Apr 20, 2021
Posts
26
Reaction score
30
Darassa CMG Anasema Miongoni Mwa Wasanii Wapya Ambao Wapo Kwenye Label Yake Na Hana Mashaka Na Uwezo Wake Ni Huyu Hapa.. Anasema Kua Bila Shaka Anaweza Kua Mrithi Wa Young Killer Au Kumzidi Kabisa Young Killer Kutokana Na Uwezo Wa Utunzi Wake.

Je? Maono Ya Darassa Yanaweza Kua Sahihi? Hebu Mtazame Kisha Toa Maono Yako Pia? [emoji116]

 
Cha msingi awe na nidhamu,ajue nini anafanya kwani Darrasa amemuamini na kuamua kuweka hela yake kwake.So tunamtakia mwanzo mwema wa safari yake kimuziki.

Wengi Wanaanzaga Hivyo Nidhamu Nyingi Lakini Baadae Wanakujaga Kubadilikaga.. Sijui Wanafeli Wapi.. Lakini Huyu Uwezo Upo.. Nimebahatika Kutazama Video Clip Yake Nimeona Ana Kitu Ndani Yake.. Sasa Cha MSingi Asiwe Mzembe Tu..
 
Wengi huwa wanadanganywa , wanapewa hesabu za ajabu ajabu af wanaambiwa mwanangu unaibiwa , unanyonywa ....Una fan base kubwa Sana , wakipewa na hesabu za wasanii wa marekani ndo kabisaaa na wao wanajaaa ..... Wanajikata , mwisho wa sku waliowadanganya wanawakimbia na wao wanaishia Kula unga
 
Kabisa Huwaga Wanafeli Sana Aisee
 
Vipi atakuwa kwenye genge lipi??

Wasafi,

Clouds,

EFM??

Vinginevyo hapati show, wala promotion maana hao ndio promoters na waandaaji wa show
 
Hesabu za kilimo cha matikiti.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…