Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
"Nisamehe" pia ipo vizuri.
Kweli nimezeeka huyo amba lulu sijui wimbo wake hata mmoja halafu wewe unasema ana hit songKaka amber Lulu mtoe hapo hakuna anayemfikia yule dada kama haelewek ila akitoa goma huwa ni goma kweli
Sent using Jamii Forums mobile app
mbona nayo kama haieleweki yani ndo mbaya zaidi
Sasa mama Dangote naona umekuja resi kama umetoka kupigwa nao huko
Sent using Jamii Forums mobile app
Anajionea aibu....
Rudia tena mkuuKuna mbuzi mmoja kaanzisha na uzi eti huyu Zuchu ni Nandy+Jide+Vanessa. Pumbafu kabisa.
Huyu Zuchu tumuweke kundi la kina Amber Lulu, Lulu Diva labda.
Sent using Jamii Forums mobile app
Je wako kundi moja by now?Huyu Zuchu tumuweke kundi la kina Amber Lulu, Lulu Diva labda.