GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
- Thread starter
-
- #21
Yupo live Instagram kamuulize
Hahahaha aliwazalo mjingaUnaweza hata Wewe ukamjibia vile vile kwani unaonekana labda ni ' Mbanduliwaji ' wake uliyetukuka.
Hahahaha relax wewe acha kujipanikisha, mapovu ya nini brother, tuliza boli, ndondo cup waleteee, nyang'au weweMpumbavu Wewe utamjibia.
Nimekupata vyema kabisa...over overAna maanisha mwanamme awe mchapa kazi kama mashine, awe anajituma anapofanya kazi zake
Kila dakika moja kwenye uhai wako ina maana kubwa sana....kwenye maisha yako.......kwa sababu muunganiko wa dakika unaunda masaa ambayo yanazaa siku.....na kupelekea kukamilika mwezi na hatimaye mwaka.....
Hivyo basi usikubai kuupoteza muda katika kujadili au kujihusisha na mambo yasiyo na tija kwenye maisha yako....ili usiwe miongoni mwa watu watakaokuja kujuta maishani mwao......
Wewe ndio nahodha wa jahazi la maisha yako....kwa maana umakini safarini na ustahimilivu wako kwenye kupambana na mawimbi makali...ndivyo vitakavyokufikisha pwani salama.......
Kujaza vitu visivyo na msingi kwenye maisha yako ni kuuchosha au kuupa ubongo wako kazi isiyo na manufaa........
WE BECOME WHAT WE THINK......
THINK BIG TAKE CONTROL OF YOUR DESTINY.......
Na wewe usikubali kupoteza muda kwa kuandika gazeti lote hilo. Toa comment fupi fupi kama kabanga
[emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41] [emoji41]Mwanaume kujituma.
Mwanaume sio kabila.
Mwanaume kichwa cha familia.
Mwanaume kuwa mvumilivu.
Mwanaume kutafuta.
Mwanaume mashine.