Msanii Msaga Sumu anavyoimba Mwanaume ' mashine ' anamaanisha nini?

Ukisikiliza huu wimbo toka mwanzo utapata maana ye neno mashine kwenye huu wimbo,
Mwanzo anasema mwanaume sio sura mwanaume ni kuchapa kazi, mwanaume kujituma.... mwanaume ni mashine..
Hapo ana maanisha mwanaume anatakiwa kufanya kazi kama mashine(kuchapa kazi,kujituma)
 
Na wewe usikubali kupoteza muda kwa kuandika gazeti lote hilo. Toa comment fupi fupi kama kabanga

Usipoteze muda wako na huyo Popoma / Mpumbavu Mkuu. JF ina platforms nyingi sana zenye kila hitaji la Mtu hivyo kama Yeye aliona huu uzi wangu haujamfurahisha angeachana nao tu kwani sijamwita wala sijamlazimisha aje huku ila ni ' Kiherehere ' chake tu hasa akijua kuwa GENTAMYCINE ni ' purely talented and charismatic fella ' ndiyo maana akaufuata huu uzi. Yeye ni nani wa kunipangia Mimi cha kuandika humu JF? Je nilipojiunga humu JF nilimwomba ridhaa yake? Je huku kunifuata fuata Kwake ananisaidia hata kuninunulia monthly bundle yangu? Tena nimemjibu makusudi kwa kumwambia ' Foolish ' ili arudi kwa hasira halafu ' Mwanamume ' Kazi yangu ya ' kummaliza ' iwe rahisi kabisa na tuheshimiane rasmi.
 
Uwe na wakati mwema ndugu........sikujua kama ungekwazwa na andiko langu kwa kiasi hicho......nisamehe kwa kuingia kwenye uzi wako na kuandika usichokipenda........

SAMAHANI NDUGU.....

Siku nyingine uwe makini sana na hii ID kwani siku zote Principle yangu haibadiliki na kamwe haitobadilika ambapo ' ukijamba tu basi Mimi nakunya kabisa '. Ukija Kistaarabu Kwangu hakika utafurahi nami kwa ustaarabu nitakaokuonyesha na ukija Kihuni na Kishari basi Mimi ndiyo Muhuni na Mshari wa Kutukuka. Kokote utakaponitupa tu GENTAMYCINE nipo na utafurahi na roho yako.
 

Uwe na wakati mwema.....ndugu yangu......
 
Anamaanisha tuwafikishe juu ya kilele cha Kilimanjaro mountain
 
Anamanisha mashine ya kukatia majani... Usitumie fyekeo...



Cc: mahondaw
Heheheeeiyaaaaaaaaaaaa

Wacha nifunge domo langu mie makee mhmmhmhmhmhmhmhmh!! Mh mh[emoji12] [emoji12] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji533] [emoji535] [emoji529]

Smart911 my king hebu njoo chemba tutete kidogo!
 
Heheheeeiyaaaaaaaaaaaa

Wacha nifunge domo langu mie makee mhmmhmhmhmhmhmhmh!! Mh mh[emoji12] [emoji12] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji533] [emoji535] [emoji529]

Smart911 my king hebu njoo chemba tutete kidogo!
Woyooooo...
Thank you for the goodnight and thank you for a good morning mahondaw wangu...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…