Msanii mwanafunzi wa PhD Nikki wa pili akemea vijana waliompiga warioba

GIBA KB

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2012
Posts
367
Reaction score
110
Msanii wa Hiphop hapa Tanzania,Nikki wa pili amekemea vijana wote walihusika katika tukio la jana ambapo Waziri mkuu mstaafu Jaji Sinde Warioba alipigwa.Katika ukurasa wake wa Instagram,Nikki amewaita wapumbavu na watu wanarudisha nyuma maendeleo na amesema ni aibu kwa vijana kumpinga mtu anayepigania maslahi mapana ya Watanzania
 
Huyu dogo nae mpumbavu tu. Anatafuta kick za uongozi . Kwanza naye ni magamba tu. Kutwa kushabikia siasa za CCM halafu leo anajifanya anaandika upuuzi wake . Hawa si ndo walionishinikiza katiba ya CCM kwa asilimia 100.ipigiwe kura ya NDIO.
 
Mzee wangu Warioba kaniangusha sana, namjua vizuri uyu mzee ana mkanda mweusi wa Judo na ana mkanda mwekundu wa taekwondoo sijui alisita nini kutembeza mawashi na kichapo kitakatifu kwa wale wavuta bange wa ccm....Nafikiri alitumia hekima ya uzee la sivyo asingetoka mtu angechakaza wote mule.
 
Hhhhhhhhhhhhaaaaaaaaaa
 
nimecheka mpaka baas!!
 
Ugumu wa maisha na tatizo la ajira navyo vinachangia vijana kukosa uzalendo na kujikuta wanatumika vibaya kwenye vyama. SOOO SAD
 
Huyu dogo nae mpumbavu tu. Anatafuta kick za uongozi . Kwanza naye ni magamba tu. Kutwa kushabikia siasa za CCM halafu leo anajifanya anaandika upuuzi wake . Hawa si ndo walionishinikiza katiba ya CCM kwa asilimia 100.ipigiwe kura ya NDIO.

kaka umenena, huy dogo ---- sana, hajaanza hata hiyo phd tayar keshajitangaza ulimwengu mzima, wakat huo huo alikua miongon mwa waliokuwa wanaishabikia katiba pendekezwa, ptuuu
 
Back
Top Bottom