Mzee wangu Warioba kaniangusha sana, namjua vizuri uyu mzee ana mkanda mweusi wa Judo na ana mkanda mwekundu wa taekwondoo sijui alisita nini kutembeza mawashi na kichapo kitakatifu kwa wale wavuta bange wa ccm....Nafikiri alitumia hekima ya uzee la sivyo asingetoka mtu angechakaza wote mule.

Neno PHD linahusika nini na hiyo habari?

Mi sipendi sana mtu akijibrag kwa mambo ya kishule shule namuona bonge la mbwiga!
Huyu dogo nae mpumbavu tu. Anatafuta kick za uongozi . Kwanza naye ni magamba tu. Kutwa kushabikia siasa za CCM halafu leo anajifanya anaandika upuuzi wake . Hawa si ndo walionishinikiza katiba ya CCM kwa asilimia 100.ipigiwe kura ya NDIO.