Msanii Mwingine huyu hapa msikilize akizungumzia tozo

Msanii Mwingine huyu hapa msikilize akizungumzia tozo

Kituko kingine, msikilizeni. Huyu si chawa bali Kibwengo cum Kupe!

Hah hah 😂 kweli CCM imeishiwa hoja za kushawishi.

Si ajabu huyu mtetea tozo yupo ktk listi ya Hamdu Shaka kupokea ngawira kutetea tozo

08 September 2022
HAMDU SHAKA : CCM YA AWAMU YA 6 TOFAUTI NA ILE YA AWAMU YA 5 AMBAYO ILIBINYA UHURU


Katibu uenezi CCM kada Hamdu Shaka akiongea na waandishi wa habari pia kujibu maswali yao.
 
Sasa ngoja tozo iondolewe, hii takataka itarudi kusifia jinsi CCM ilivyo sikivu. Pamoja na huyu kuitwa kibwengo, wenye mawazo kama yeye wametamalaki na ndio wako usukani! Twafaaa!
 
Back
Top Bottom