Msanii na mbunge mh Jaguar kutoka Kenya aja nchini kutafuta mchumba, Clouds wawapendekeza Mabeto, Diva na Wema Sepetu

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mwanamuziki Nguli kutoka Kenya yuko nchini kwa ajili ya mapumziko lakini pia kutafuta mchumba.
Ameyasema hayo katika mahojiano yake na watangazaji wa Clouds tv Bebi Kabae na Ngoma.

Mtangazaji Ngoma amewapendekeza Hamisa Mabeto, Diva na Wema Sepetu kama wachumba wanaofaa.

Source Clouds 360!
 
hao waliopendekezwa ni wachumba au ni makulumbembe
 
Mwanamuziki Nguli kutoka Kenya yuko nchini kwa ajili ya mapumziko lakini pia kutafuta mchumba.
Ameyasema hayo katika mahojiano yake na watangazaji wa Clouds tv Bebi Kabae na Ngoma.

Mtangazaji Ngoma amewapendekeza Hamisa Mabeto, Diva na Wema Sepetu kama wachumba wanaofaa.

Source Clouds 360!
 
Sasa ao wachumba[emoji28]
 
Clouds wawapendekeza Mabeto, wema sepetu na diva
 
Mbona mnampendekezea takataka hizo...... Hao ni wanawake wa kumpa mgeni kweli mnataka tukachafuliwe jina ugenini tuonekane hatuna malezi mazuri kwa mabinti zetu!

Hebu kuweni serious basi, tuna watoto wa kike kibao ambao ni safi kabisa
 
Khaaa hao wachumba aliochaguliwa hivi wana mapenzi mema nae kweliii?? Nauliza tuu haha atafute tu mwenyewe kama kiba
 
Angoze na dada yako kwenye majina ulopendekeza

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…