Msanii na mbunge mh Jaguar kutoka Kenya aja nchini kutafuta mchumba, Clouds wawapendekeza Mabeto, Diva na Wema Sepetu

mabeto labda, ila hao wengine hovyo kabisa
 

Awachukue hao watatu na Bebi Kabae tutampa kama nyongeza
 
Write your reply...
ndugu zangu
hao watu tajwa hapo juu wakitaka kuolewa mnishtue!
nna buku la mahari
 
Clouds wameanza lini biashara ya kuuza watu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…