Msanii namba mbili Tanzania amemfunika vibaya French Montana kwenye kolabo

Kiba mwenyewe ana muogopa mond anajua kabisa huyo sio levo zake kwa sasa Mond ni wakataifa kama yanga
 
Nlivyosoma msanii no 2 diamond nikafkiri namba 1 ni bi kidude (rip). Dhihaka hiz jmn yan kiba ndo msanii namba 1 bongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akutukanaye hakuchagulii tusi
 
Duuuuh mapovu mbona mengi saaana umu duuuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…