Msanii Naseeb Abdul (Diamond) aswekwa mahabusu kwa kupiga mwandishi wa habari

Ha ha haaa... eti Bush sheet... bora ungeandika Stoooped... Yailah toba...
 
Huyo bloger aliepigwa ni binti wa miaka mingapi?..........
 
diamond ana njaa
ila
mwandishi ana njaa zaidi
 
huyo mwandishi nae mchovu kweli anapigwa na haka kakijiti haka....
 
2012? Raha ya umbea uwe makini,ebu peleka uko tbt
 
Nilijua ubuyuuu kumbe ni enzi hizo....umbea utaniuaa
 

Ningekua Mimi nisingekubali ht kdg
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…