Msanii Nyota Ndogo afunga ndoa na Mwanaume wa Kizungu

barafu

JF-Expert Member
Joined
Apr 28, 2013
Posts
6,739
Reaction score
32,880


Msanii wa Muziki wa Mombasa Nchini Kenya,maarufu kama Nyota Ndogo,ameamua kuachana na maisha ya upweke na kuamua kufunga ndoa na mchumba wake wa muda mrefu

Kitendo cha Nyota Ndogo kuamua kufunga pingu za maisha,kumezua maneno mengi miongoni mwa vijaana wa Kikenya wakiamini kuwa msanii huyo ameenda kuolewa na mwanaume aliyemzidi umri sbb ni mzungu,hali hiyo ilizua mtafaruku kati ya mashabiki wa Nyota Ndogo na wale wasiompenda

Wakati huo huo wengi wamekosoa aina ya "make-up" aliyoiweka wakati wa harusi yake.Kwetu Bongo Nyota Ndogo ni maarufu kwa wimbo wake wa "Kuna Watu na Viatu"
 
Ahaha kweli huyu ni nyota ndogo ameyatutumua kweli wazungu wanapenda vibudu wana yao wanafanya research
Teh kwanini unakuta kibudu?
Nyota ni mzuri ila hayo marangi usoni na mapiko mwilini hayajampendeza hata kidogo
 
Ingefaa angejipaka rangi ya bendera ya Taifa la Kenya
 
Ahaha kweli huyu ni nyota ndogo ameyatutumua kweli wazungu wanapenda vibudu wana yao wanafanya research

Nyota ndogo Ni msanii huru.Anavaa Anavyo taka anajimakeup Anavyo taka Na papoja Na yote hajajichubua Kama wewe wambura.
Nakama vibudu yanakuhusu nini weye.
WIVU tu
 
mhh kama wanazama choon wazungu balaa bhas
 
Kwa rangi yke angejikubali km flaviana matata angependeza sana tatizo kaharibu hpo kwny fake yaani tucicfie coz ni maarufu,kwa hyo make up katisha kaa dudu!!!binafc kaboa mno!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…