Msanii Papii Kocha Ajichora 'Tatoo' Ya JPM

Warudi kwao hawa jamaa hii nchi imeshawajambia ushuzi watanuka mpk kaburini. Kesi ya ubakaji utatafuna roho zao labda watubu mbele za Mungu na kuwaomba msamaha wahanga wote
 
Nikajua kajichora kwenye Mapupu ili kuweka msisitizo kumbe mkononi.
 
..haileti picha nzuri.

..kwa makosa aliyohukumiwa nayo hapaswi kujihusisha au kujiweka karibu kwa namna yoyote ile na Raisi wetu.
 
Hata angejichora kwenye makalio kabisa haitusaidii lolote kulegeza vyuma vilivyokaza
Nenda jela mwezi tu halafu SHETANI akutoe. Utachora tatoo yake katikati ya paji la uso uandike kabisa Baby Shetani. Jela kubaya jamani, tuliotembelea mahabusu tunakujua kule. Unapopata dhamana unatamani uvue nguo ukimbie uchi sembuse kuachiwa kifungo cha maisha.
 
Pamoja na kasoro za za huyu jamaa alogoma kutubu ila kwa hili la kuwatoa jela hawa jamaa alinifanya niwe na furaha sana katika siku ile
 
Karibu Uraiani mrithi wa Hayati Kapteni Komba
 
Angeandika hapo hata neno "MUNGU" aisee,kwani huyo aliyempa huyo mzee hekima za kutafakari si Mungu au nani?halafu naona kimya simsikii akimuhubiri Mungu kama alivyoahidi ninini anachokisubiri?
 
[emoji106]
 
Hata ingekua mm ningechora.....Hakutegemea km ipo siku angetoka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…