Mr. Bigman
JF-Expert Member
- May 7, 2011
- 2,560
- 1,300
ivi kuwa mnyonge ni sifa, yaani kuna watu wanafurahi kweli kuitwa wanyongeKipenzi cha wanyonge huyo
Mwenyezimungu ampe maisha marefu
Hawatuwezi, iko wazi, N2N Soldiers.Yuleyule aliyekupandiaha ndiyo atakayekushusha
Bila shaka ni Kiswahili cha KongoItikadi na uhenezi unamsubiri wkt wwte.
[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13] [emoji13]Hata angejichora kwenye makalio kabisa haitusaidii lolote kulegeza vyuma vilivyokaza
Kwenye taasisi yoyote ya serikali asitegemee,labda apelekwe kibiti akaishi msituni.Itikadi na uhenezi unamsubiri wkt wwte.
Sio tattoo mkuu,inaonekana MTU wa aina hii ni mjinga aliyezidiwa na hofu.Ungekuwa wewe ungefanyaje
Usingelipa Fadhila?
Hapana mkuu,ni yule jamaa mwenye kichwa kama umbo la Tangawizi ghafi.[emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16] [emoji16]JPM kirefu chake ?
Jumer Pumba Maharage ?
Jamaa Penda Misifa ?