Msanii Pasha Lee wa Ukraine afariki Dunia

Niache Nteseke

JF-Expert Member
Joined
Apr 29, 2020
Posts
2,162
Reaction score
2,616
bb88aad8b578e6e0e1ce9b29f181925a.jpeg

Msanii maarufu wa Ukraine anayejulikana kwa jina la Pasha amefariki Dunia kutokana na kushambuliwa kwa makombora na wavamizi wa Urusi huko Irpin, Ukraine.

Kifo cha msanii huyo kiliripotiwa na mwanasheria na mwandishi wa habari Yaroslav Kuts.

"Hawakuwa na hata wakati wa kupiga picha ambazo walikusudia kuzipiga, kwa kifupi nnachoweza kusema ni.....Rest in peace Pasha," aliandika kwenye account yake ya Facebook.

Wakati wa kifo cha Pasha, alikuwa na umri wa miaka 33 tu. Msanii huyo alijiunga na sanaa miaka mingi iliyopita. Katika muda wa saa 48 zilizopita, kumekuwa na fursa ya kuketi na kutupa picha kuhusu jinsi wanavyopigwa na mabomu lakini bado walikuwa wanatabasamu, kwa sababu waliweza kukabiliana nayo, na kila kitu kingebaki kwa Ukraine. Kwa kifupi tunafanya kazi !". Hiko ndicho alichoandika muigizaji huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram.
 
Una undugu na kina Shigongo?

Maana ndio aina ya title huwa wanaweka kwenye ishu zao za habari wakitaka kuuza fasta magazeti
 
Nikajua Pasha wa bongo fleva
Ukajua huyu.
 
Msanii maarufu wa Ukraine anayejulikana kwa jina la Pasha amefariki Dunia kutokana na kushambuliwa kwa makombora na wavamizi wa Urusi huko Irpin, Ukraine.

Kifo cha msanii huyo kiliripotiwa na mwanasheria na mwandishi wa habari Yaroslav Kuts.

"Hawakuwa na hata wakati wa kupiga picha ambazo walikusudia kuzipiga, kwa kifupi nnachoweza kusema ni.....Rest in peace Pasha," aliandika kwenye account yake ya Facebook.

Wakati wa kifo cha Pasha, alikuwa na umri wa miaka 33 tu. Msanii huyo alijiunga na sanaa miaka mingi iliyopita. Katika muda wa saa 48 zilizopita, kumekuwa na fursa ya kuketi na kutupa picha kuhusu jinsi wanavyopigwa na mabomu lakini bado walikuwa wanatabasamu, kwa sababu waliweza kukabiliana nayo, na kila kitu kingebaki kwa Ukraine. Kwa kifupi tunafanya kazi !". Hiko ndicho alichoandika muigizaji huyo kwenye ukurasa wake wa Instagram.

View attachment 2142581
Just a Minute..., Hold On....

Amekufa kwa kushambuliwa akiwa amejikinga / anakimbia au uwanja wa vita anapigana ?

Kama ni vitani basi asilimia 50% ni kifo..., hizi sio drama / uigizaji kwamba wakisema CUT unaamka na kuendelea na Maisha yako..., Hizi ndio outcomes za War ingekuwa vinginevyo wangetumia risasi za maji...
 
Mambo ya ajabu,wewe sio soldier unajitia kwenda front line ku volunteer Vita .ok amekufa kishujaa kwa kuitetea nchi yake ,
 
Back
Top Bottom