Msanii peter msechu amtambulisha mama wa mtoto wake

Msanii peter msechu amtambulisha mama wa mtoto wake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
The Tanzanian Singer introduced his baby mama in this awww-inspiring message

" Happy birthday to this beautiful girl of mine aka mama lolo, mama yake mtoto wangu ,mother house, mother kitambi, mother misosi ,mother manager ,mother kila kitu... since 2002 till now 2014 we still gandana like super glue.... utatudanganya nini..... I love u so much na I wish u happy birthday uzidi nizalia mitoto mizuri mizuri kama lolo nipige hela mimi za posa.... live long live long live long! "
 
Hongera zako kumuonyesha kuliko wengine wanao banjuana ki sirisiri
 
Anawaza kuwauza watoto wake?!

Eti nipige hela za posa?!
 
2002-2014? HONGERA Msechu. Continue kugandana hivyo hivyo. Usijali mseya. Posa utapeleka.
 
Kwenye show ya tusker project fame5 au4 Msechu kwa kutumia tune ya 'mokolo nakokufa' aliimba 'Juliana nakupenda' akimzimikia mmojawapo wa majaji wa show hiyo. Shape ya Juliana inafanana sana na huyo mama motto wa Msechu. Bila shaka Msechu ni mpenzi mkubwa wa hizo shepu.
 
Back
Top Bottom