Msanii PETER MSECHU anateka maji na kupika?

Lucchese DeCavalcante

JF-Expert Member
Joined
Jan 10, 2009
Posts
5,471
Reaction score
752
I am sure most of girls will love to have a Mr. right who does all of these? Au ni ubishoo na kutaka cheap popularity?


 
nimecheka sana.ngoja niende zangu sasa....
 
hali ya uchumi ndiyo inamsababishia kuwa katika hali hii. Ngoja azikamate kisawa sawa muone!
 
kwa bongo lazima watu washangae sana,lakini kwa wanaotusainisha mikataba feki kwao ni kitu cha kawaida sana tena sana

kwa mfano

wali waliotembea china,hutoshangaa pindi umwonapo mwamume kabeba kipochi ama kibegi cha mwanamke ni hali ya kaida na ya kuzoeleka

lakini kwasisi tunaosaini mikataba feki kila kitu ni kushangaa tu,ndio maana jamaa wanatupata kwa kutusainisha mikataba feki,kwa sababu ya kushangaa na kuona kila jambo ni geni kwetu,lite tunge zoea hali hii haya yote yasingetokea
 
khaaaaaf huyu jamaa huku nyuma hakuwahivi kazeeka ghafla walahi kunamziki wake kaimba na kidumunilishindwa kuelewa kama ni yeyempaka nilipoona jina yake lol
 
khaaaaaf huyu jamaa huku nyuma hakuwahivi kazeeka ghafla walahi kunamziki wake kaimba na kidumunilishindwa kuelewa kama ni yeyempaka nilipoona jina yake lol

Yaani hata mimi nimebaki nashangaa huo wimbo!!RELAX, RELAX ndio kinachosikika!!
Naona kavaa Tshirt yenye maandishi RELAX!!
 
hali ya uchumi ndiyo inamsababishia kuwa katika hali hii. Ngoja azikamate kisawa sawa muone!

si kweli.
Mimi nyumbani mabovu kishenzi, lakini huwezi kunikuta napika wala kuchota maji.
 
Mwanaume habebi ndoo kichwani bana, na huo mkao wa kumenya maharage hauvutii kabisa japo napenda watu wanaosaidia kazi.
 
Duh Tabu kweli kweli!!!!

Hivi huyu jamaa ana umri gani?

Kusaidia sio kuweka ndoo kichwani bali ni kuchimba kisima na mambo mengine yanayotakayo rahisisha ufanisi wa kazi.

 
Alikuwa anarekodi video ya wimbo gani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…