Msanii Recho hivi ni kweli unayoongea?

Huyu binti ni darasa la saba ulitegemea nini? kuna kipindi nilikua namtaka kimapenzi nikawa natuma text za kingereza sipatiwi majibu rafiki yake mmoja akanambia bibie ni Maamuma wa kutupwa! mood yote ikaniisha!

Umeniacha hoi
#Super Handsome... mood ikakata live lmao
 
anauza huyo,ila bei yake iko juu kidogo tofauti na wa kawaida
 
Huyu binti ni darasa la saba ulitegemea nini? kuna kipindi nilikua namtaka kimapenzi nikawa natuma text za kingereza sipatiwi majibu rafiki yake mmoja akanambia bibie ni Maamuma wa kutupwa! mood yote ikaniisha!

Kwani unagegeda kimombo au??
 
Ndio maana ana deep mawazu,,,ya nani???mmewe au
Binamu ule Uzi wa jestina Ni wa zamani kidogo, Kama unakumbuka vizuri mange ndo alianza Kuwa mjamzito then shamim na yeye akawa mama k. Ndo maana kuna Mtu akaongelea kipindi kile mange amesema Kuwa mimba yake Ina matatizo kidogo, Ana kisukari cha mimba etc... labda kama wote Ni wajawazito tena, coz sijaona thread ilipoishia
 
yule mheshimiwa mbonge hivi nae mzungu au muarabu? anadhani watu hawajui mambo yke? c n yy alienda kujiuza dodma na akaiba hadi cm..... emu akae kimya tumstiri. mfyuuuuuuuuuuuuu
 
Vp nilisikia tetesi za mnyama kumsumbua cjui ilifikia wapi ,mwenzake frola mbasha kavunja ukimya kazaa

Jamaa alikuwa anatawanya ukweli, kuna time alikuwa anakapigisha bangi haka kadem
 

Anhaaaaaaa......hapo sawaaaaa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…