Msanii x-member wa kundi la Tmk wanaume halisi Rich One, anashikiliwa katika kituo cha polisi cha Msimbazi kwa kosa la kutumia jina la Ali kiba kuwatapeli mapromota mbali mbali.
Msanii huyo anadaiwa ku divert namba ya Ali Kiba na kupokea simu za mapromota mbali mbali na kukubaliana kufanya show na kupokea advance kwa kuwapa namba yake ya mpesa. Siku ya show promota anajikuta katika wakati mgumu baada ya kutokumuona Ali Kiba.