Msanii x-member wa kundi la Tmk wanaume halisi Rich One, anashikiliwa katika kituo cha polisi cha Msimbazi kwa kosa la kutumia jina la Ali kiba kuwatapeli mapromota mbali mbali. Msanii huyo anadaiwa ku divert namba ya Ali Kiba na kupokea simu za mapromota mbali mbali na kukubaliana kufanya show na kupokea advance kwa kuwapa namba yake ya mpesa. Siku ya show promota anajikuta katika wakati mgumu baada ya kutokumuona Ali Kiba.
it is possible kupitia mawakala wa tigo, na hasa unapo kuwa hutunzi namba yako ya siri kwenye tigo pesaSwali, vipi amedivert number za Ali Kiba, how is it possible?
Msanii x-member wa kundi la
Tmk wanaume halisi Rich One, anashikiliwa katika kituo cha polisi cha
Msimbazi kwa kosa la kutumia jina la Ali kiba kuwatapeli mapromota mbali
mbali.
Msanii huyo anadaiwa ku divert namba ya Ali Kiba na kupokea simu za
mapromota mbali mbali na kukubaliana kufanya show na kupokea advance kwa
kuwapa namba yake ya mpesa. Siku ya show promota anajikuta katika
wakati mgumu baada ya kutokumuona Ali Kiba.
Msanii x-member wa kundi la Tmk wanaume halisi Rich One, anashikiliwa katika kituo cha polisi cha Msimbazi kwa kosa la kutumia jina la Ali kiba kuwatapeli mapromota mbali mbali.
Msanii huyo anadaiwa ku divert namba ya Ali Kiba na kupokea simu za mapromota mbali mbali na kukubaliana kufanya show na kupokea advance kwa kuwapa namba yake ya mpesa. Siku ya show promota anajikuta katika wakati mgumu baada ya kutokumuona Ali Kiba.