Msanii Roma aishukuru serikali kwa jinsi ilivyoshughulikia suala la kutekwa

Usimsahau mchizi. . bonge ya wimbo!!
 
Atoke

Toka zake mnafikiki uyo,hana lolote anadanganya watanzania,Hakuna cha rap hapo ni taharabu tu,Kashindwa kusema alipelekwa wapi na kafanywa nini?kama kufa kupo tu hata usipokufa leo utakufa kesho.
Mkuu we unasema tu huyajui maisha ukija kutegemewa na mke wako na ukoo wenu wote ndo utauvaa uhusika wa roma
 
Roma kajiteka mwenyewe asicheze na akili zetu
 
Ambacho bado kina nioa ukakasi kwenye story yake ya kwanza ni swala la kubadiri nguo kweli mtu smart kama roma unaanzaje kupoteza ushaidi hahahaha

Mwana katoa boko
 
Mara nyingine R.O.M.A,si mtu wa kulaumiwa sana kwa kuamua kukaa kimya.Mfano akafunguka kuwa walimfanyia vitendo vya udharirishaji,au baada ya kueleza video akifanyiwa unyama zikavuja sidhani kama watu waliodhamilia kukuua wanapofikia hatua kukuachia wanakuachia kizembe,tumuoneeni huruma huyu ndugu kwa kweli,akina ulimboka hatuwaoni hadi leo kwa nini .
 
aache upumbavu wake huko, tunachotaka kujua ni wapi alipelekwa, nani alihusika na sababu ni nini. haina haja kuficha kwa sababu aelewe kuwa dunia nzima inataka kujua ukweli. wakitekwa wengine tutaamua kukaa kimya tu maana hawataki kuwa wakweli. aseme ukweli ili kama wananchi tujue adui anayetuteka.
 
hakuna haja ya kumuonea huruma mtu kama huyo.
Roma kesi yake anaijua mwenyewe nyie mumuacheni
 
Toa mfano wewe, ukatekwe ukae huko wiki, harafu uje utuambie nayeye atajifunza, inawezekana hajapata mwalimu, uwe wa kwanza basi
 
Aachane na hiphop haiwezi aimbe gospel
 
Mjinga kabisa wee Roma..

Waliokuteka wote ni watumishi wa serikali..

Leo unaishukuru.

Ndio maana nasikia umeanza kuimba nyimbo za kwaya siku hizi.
 
Walichomfanya uyu dogo sio cha kawaida kwa sasa akomae na singeli maana alikua anaikosoa sana serikali sasa kwa wema wa serikali sio sahihi tena yeye kuikosoa [emoji23][emoji23][emoji23] usiombe yakukute.
 
Siku nawe ukitekwa utaelewa kwanini roma yupo hivi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…