M mjasiliamali huru Member Joined Apr 11, 2017 Posts 65 Reaction score 40 May 2, 2017 #41 MENGELENI KWETU said: Mjinga kabisa wee Roma.. Waliokuteka wote ni watumishi wa serikali.. Leo unaishukuru. Ndio maana nasikia umeanza kuimba nyimbo za kwaya siku hizi. Click to expand... Siku ukitekwa utaelewa kwanini roma hasemi vzr
MENGELENI KWETU said: Mjinga kabisa wee Roma.. Waliokuteka wote ni watumishi wa serikali.. Leo unaishukuru. Ndio maana nasikia umeanza kuimba nyimbo za kwaya siku hizi. Click to expand... Siku ukitekwa utaelewa kwanini roma hasemi vzr
M MENGELENI KWETU JF-Expert Member Joined May 8, 2013 Posts 9,552 Reaction score 24,166 May 2, 2017 #42 mjasiliamali huru said: Siku ukitekwa utaelewa kwanini roma hasemi vzr Click to expand... Well..tunatofautiana. Haitokaa kamwe nikamsifia MTESI wangu hata siku moja katika maisha yangu.
mjasiliamali huru said: Siku ukitekwa utaelewa kwanini roma hasemi vzr Click to expand... Well..tunatofautiana. Haitokaa kamwe nikamsifia MTESI wangu hata siku moja katika maisha yangu.
kenstar JF-Expert Member Joined Aug 24, 2015 Posts 2,276 Reaction score 1,443 May 2, 2017 #43 Ukiimba gospel huwezi tekwa