Leak JF-Expert Member Joined Feb 22, 2012 Posts 52,916 Reaction score 43,505 Sep 16, 2023 #1 Baada ya kutrend na sakata la kuombwa Ngono,Leo msanii Ruby ameona sio mbaya akatumia upepo huo kutoa wimbo unaoitwa “YATAPITA” na ametumia muda huu kuwaomba mumsapoti…. Pamoja na hilo imeonekana kama alitaka kiki ilikutoa wimbo wake mpya.
Baada ya kutrend na sakata la kuombwa Ngono,Leo msanii Ruby ameona sio mbaya akatumia upepo huo kutoa wimbo unaoitwa “YATAPITA” na ametumia muda huu kuwaomba mumsapoti…. Pamoja na hilo imeonekana kama alitaka kiki ilikutoa wimbo wake mpya.
MSAGA SUMU JF-Expert Member Joined May 25, 2015 Posts 6,661 Reaction score 21,656 Sep 16, 2023 #2 Sema hawa wasanii "wanatuona Manyani"
adakiss23 JF-Expert Member Joined Jan 23, 2011 Posts 4,732 Reaction score 4,901 Sep 16, 2023 #3 Dah muziki wa siku hizi bana. Yan bila Kiki mambo hayaendi kabisa [emoji23][emoji23]
Marco Polo JF-Expert Member Joined Jan 16, 2014 Posts 11,786 Reaction score 18,562 Sep 18, 2023 #4 adakiss23 said: Dah muziki wa siku hizi bana. Yan bila Kiki mambo hayaendi kabisa [emoji23][emoji23] Click to expand... Yaani uharibiwe image Yako Yako kwa ajili ya nyimbo ku trend? Sidhani
adakiss23 said: Dah muziki wa siku hizi bana. Yan bila Kiki mambo hayaendi kabisa [emoji23][emoji23] Click to expand... Yaani uharibiwe image Yako Yako kwa ajili ya nyimbo ku trend? Sidhani