Msanii Sam wa Ukweli ameishia wapi?

NAKEMBETWA

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2012
Posts
3,517
Reaction score
3,135
Nimejikuta nakutana na wimbo Sina raha wa Huyu dogo alikuja vizuri miaka ya 2010/11 alitamba sana na Wimbo wa Sina Raha

Yuko wapi siku hizi au aliacha muziki?
 
Mara ya mwisho alikuwa karibu snaa na mh kikwete kama family member naamini kampa shughuli nzuri ya kufanya maana mkwere ni mtu apendae watu kufanikiwa
 
Anafundisha watoto kusoma namba
1=one
2=two
3=three
........................
 
juz juz hapa nimemsikia eti anatafuta mengment ya kumsimamia kazi zake
 
Ukiniona sina raha eeeh nalia na mawazo
Kama hunipendi najua hupendi haiwezekani kila siku unanizinguaaa

Ilikuwa nyimbo ya taifa enzi hizo
 
Mkuu yule alikuwa muuza genge kabla mziki aujamtoa itakuwa karudi tena kwenye kazi yake pendwa.
 
Mkuu yule alikuwa muuza genge kabla mziki aujamtoa itakuwa karudi tena kwenye kazi yake pendwa.
Duh, kumbe kawaachia wenye kazi zao nae kaenda kwenye kaz zake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…