Tuambie we unayemjua mkuu..coz wote hapa 90% ya wasanii tunawajulia kwenye interview na IG so Mara nyingi anachoongea ndio anachofanya sio km wema sepetu.Wewe humjui huyu,
Waulize walioishi Kijitonyama Alimaua watakuambia.
Huyu Dada kaanza kwenye bongo movie akagundua hailipi.,kapambana sana akaanza mziki na amefanikiwa sana.
Kikwazo chake kilikuwa nuh mziwanda,akapata washauri wazuri akaachana,nae.
Sasa hivi yuko na MTU sahihi kuna mabadiliko makubwa sana katika kila kitu no skendo mda mwingi anapambana na maisha.
Msingi wa hoja yangu ni huyu Dada Mara zote yuko open sana anaga maigizo kabisa.
Naomba mwenyezi Mungu ajue kuongea kingereza cz ndio ndoto yake kubwa.,kwa jinci anavyopambana naamini ataongea fluent English sio broken km Tundulisu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimemuona kwenye msiba wa Godzilla Salasala akiandaa msosi yeye na MwasitiHuyu Dada kaanza kwenye bongo movie akagundua hailipi.,kapambana sana akaanza mziki na amefanikiwa sana.
Kikwazo chake kilikuwa nuh mziwanda,akapata washauri wazuri akaachana,nae.
Sasa hivi yuko na MTU sahihi kuna mabadiliko makubwa sana katika kila kitu no skendo mda mwingi anapambana na maisha.
Msingi wa hoja yangu ni huyu Dada Mara zote yuko open sana anaga maigizo kabisa.
Naomba mwenyezi Mungu ajue kuongea kingereza cz ndio ndoto yake kubwa.,kwa jinci anavyopambana naamini ataongea fluent English sio broken km Tundulisu.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mafanikio mengi yametokana na kampeni za CCM na kwasasa Mtonyo wa RUDI NYUMBANI kumenoga unamtoa!Huyu Dada kaanza kwenye bongo movie akagundua hailipi.,kapambana sana akaanza mziki na amefanikiwa sana.