ukwaju_wa_ kitambo
Senior Member
- Sep 15, 2024
- 150
- 173
HAKUNA NOMA - PROFESSOR JAY.
"SIMPLE X"
" ni Extra extra ! Extra Vakaza hakuna noma !/ kazi ndio kwanza inaaza tega sikio upate soma la shahada ya kwanza/ Daima sintanyamaza kuongea yanayonikwaza/ hakuna noma bado nipo chuo kikuu nasoma/ Elimu jicho la tatu nalitumia kutazama/ naona wasanii wengi na ukosefu wa taharuma/ jingle linaleta beef na kuongeza uhasama/ baada ya piga makofi walizusha nimekacha fani/ hapana ni majukumu na viji mambo fulani fulani/ hakuna noma nipo tena producer majani/ nang'aa katika fani kama machupa dimbani/ kama kawa mtu mzima nawakirisha choka mbaya/ kwa kifupi mambo yangu bado hayajatulia / No sweat ipo siku maisha nitayapatia / nakula Sahani moja na watoto wa kishua/ niite simple X ukipenda mzee wa Ngano/ salam salam kwa mshakaji wangu wangu allykabano/ natoa lecture nzito kama doctor kuzimano/ ni choka mbaya baby daima msimamo...!!!!
( katika picha ni
Athuman Machupa mchezaji wa zamani wa club ya simba sc)..
Msanii simple X alimtaja Athumani machupa katika wimbo huu wa " hakuna noma" kama ni sehemu ya appreciate kile alichokifanya mchezaji Athumani machupa Enzi hizo akiwa dimbani ..
Ukwaju wa kitambo
0767 542 202