Hakukuwa na sababu ya kuwazuia watu kutoa like au lah maana like maana like inaweza maanisha kushukuru kwa kupewa taarifa!Waswahili bana, mwisho kabisa kaomba watu wasi-like!! But naona likes 35 hapo
Hakukuwa na sababu ya kuwazuia watu kutoa like au lah maana like maana like inaweza maanisha kushukuru kwa kupewa taarifa!
Wasanii wengi ni zero brain,yeye akili yake anajua kwamba mtu akitoa like maana yake kwamba ni kweli wanalike,like inamaana nyingi,kuonyesha kwamba umeiona pia hiyo post na huna comment yeyote.
daah hivi wale jamaa wa kundi la 0 brain wamefia wapi?

mwananyamala hosp.
daah hivi wale jamaa wa kundi la 0 brain wamefia wapi?
Stereo yupi jamani huyu ambaye amehitimu UCLAS 2014?
Tangia Qchief atoke kisanaa na kundi likafa,kijiwe kikuu kilikuwa posta mpya.
Waswahili bana, mwisho kabisa kaomba watu wasi-like!! But naona likes 35 hapo