uaminifukazi
JF-Expert Member
- Oct 22, 2014
- 1,467
- 916
hiyo ni yafsiri yako, lakini mimi ninaelewa like maanake yake ni kwamba nimekipenda ulichoweka.
Unajua majibu mengine tayari ni faraja tosha hata kwa wafiwa.mwananyamala hosp.
We pimbi kweli..
hiyo ni yafsiri yako, lakini mimi ninaelewa like maanake yake ni kwamba nimekipenda ulichoweka.
Ndio maana mnadanganyana insta kwa kuweka picha huku mmegeuza makalio na misura ya kujichubua kama mke wa teves kwakua mnapata likes nyingi.
na watu hawaweki picha insta kwa sababu nyingine yoyote zaidi ya likes na comments za kusifiwa, na ukitaka kublockiwa insta jaribu kushauri au kurekebisha akichopost mtu matusi yatakuishia na block juu, na ndio maana aliyeweka post ya kupoteza ndugu kwa moto ametoa tahadhari kabisa mtu asilike kwani anajua.
Likes nyingi za Facebook na Instagram ni za kinafiki,we angalia yericko nyerere akiweka mada Facebook utasikia iweke pia na JF,wanajua wakiwa Facebook wanacomment kinafiki lakini wakiwa JF wanatoa makavu live.
Ben pol ametoa tahadhari pasipo kuelewa na ye ni zero brain kama kina recho mtaka wazungu.