Msanii Steve RnB kuuaga Ukapela hivi karibuni....Amvisha Pete Mchumba wake...!!

Msanii Steve RnB kuuaga Ukapela hivi karibuni....Amvisha Pete Mchumba wake...!!

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Ni jambo la kawaida kwa wasanii wa bongoflava hasa wakubwa kama steve RnB kutembea na kila demu mzuri hapa bongo.lakini kwa steve ni tofauti kabisa kwani amefanikiwa kumvisha pete ya uchumba high school sweetheart wake.

steve-rnb-engaged-2.jpg
Rumour has it kwamba steve RnB na huyu mrembo wametoka mbali na wamekuwa wapenzi wa

muda mrefu hadi wameshawahi kufukuzwa shule pamoja.tunamtakia Steve RnB safari njema ya kuelekea katika ndoa
 
good for him, kaka mbunge wa nyanda za juu naona anazeeka tu.
 
Ila sasa demu kavaa ndala why.?..the gal z cute na ana asili ya kinyarwanda...majina yake tu ni uthibitisho kuwa ni muhamiaji
 
Ila sasa demu kavaa ndala why.?..the gal z cute na ana asili ya kinyarwanda...majina yake tu ni uthibitisho kuwa ni muhamiaji

Anaitwa nani mwanangu?
Ndala?? Can't you tell that she has come from the lavatory?
 
hongera zake maana haina mashauzi ila zingekuwa za wale sasa!
 
Steve ni kichwa! alivyoenda machozi na baadae bendi zingine nikahofu atapoteza swaga za R&B lakini naona kweli you can take a boy out of the village but you cant take village out of him!
Steve kaweza kuiba uwezo wa kuimba na bendi huku akibaki kuwa Steve R&B yule yule.
 
Back
Top Bottom