Msanii tecno na utaalamu wa lugha ya kiswahili

Msanii tecno na utaalamu wa lugha ya kiswahili

Numbisa

JF-Expert Member
Joined
Dec 12, 2016
Posts
301,221
Reaction score
1,172,274
Mwanamuziki tecno toka nigeria aacha gumzo mitandaoni baada ya kuwasilisha ujumbe wa kuupromoti wimbo wake mpya kwa lugha ya kiswahili

19050743_805401406302261_381096721666539520_n.jpg
 
Duh! Sidhani..... Ila nae [emoji184] plutnumz huwa anaandika kwa kiingereza japo Sina uhakika kama nao Nigerian wanamshangaa!!!
 
Mond tu ndo kadotikisha wasafi kwa mteja
 
KAMA KWELI NI PAGE YAKE HALISI,KUNA MKONO WASWAHILI HAPO
 
Si katumiwa tu hayo maneno akaya copy na ku paste tu
 
Back
Top Bottom