Msanii tid atupwa mahabusu toka jana kwa kosa la kumpiga demu wake

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Msanii mahiri wa muziki wa kizazi kipya, Khaleed Mohamed 'TID' yupo mahabusu katika Kituo cha Polisi Oysterbay tangu jana usiku baada ya kukamatwa na polisi kwa tuhuma za kumpiga na kumjeruhi msichana anayedaiwa kuwa ni mpenzi wake, Mariam Nnauye.
 
aisee! anyee debe tu uyo anajifanya nunda sio...
 
Old habits die hard.. Haachagi ugomvi huyu jamaa
 
Hapo inawezekana amegusa pabaya, dada yake na wenye nchi? Kwisney.

Tiba
 
TID[ Top In Damage/Destruction ]
Damaged/Destructed his life (as an artist) to the maximum!
 
Ushauri wa bure kwa TID jina hilo MNYAMA angetafuta aka nyingine.Sometimes MAPEPO.
 
TID yu still the best overoll like asikutishe huyo demu tu kama wengine akizingua unampa chai
 
Mariam Nnauye tena? Kinana kaishia wapi na Pete ya uchumba?
 
Aowane na Wema beleshi......oops sory Sepetu kwani wanaendana tabia...........

Watamzaa bwanajela.......
 
Huyo tid ana matatizo ya kufikiri.
 
TID sembe nayo ishamharibu huyu jamaa....
Nakumbuka nilimcheki kwenye Sporah show kwa mara ya mwisho..ilikuwa majanga...

Mhhh hapana akili zake huyu bwana haziko sawa kwa sasa........
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…