Msanii Tundaman anyang'anywa uanachama Simba

happy-businessman-holding-funny-huge-oversized-cup-of-black-cof-picture-id519282873-7.jpg
 
Baada ya sakata la juzi kuingia la kuingia na jeneza uwanjani msanii tundaman amenyang'anywa kadi ya simba...na haikutosha mo dewji kamuambia asirudie kukanyaga ofisini kwake..
Ni ya kweli haya?chanzo cha habari tafadhali kwa kweli alichemka!
 
Kwani huyo tundaman kakosea wapi?
Kuweka msalaba wakati ni imani njema kwa wakristo pili jeneza ni uchuro kwa jamii nzima,maana watu wameenda kufurahi wewe unapeleka jeneza!Watu wanakumbuka mengi ya wapendwa wao!wewe unafurahi mpendwa wako akifa!!???Jibu ni hapana hata mchawi huzuga!
 
Msalaba ni kuonesha ushindi.

Hilo jeneza sasa hapo ndo waliharibu
 
Baada ya sakata la juzi kuingia la kuingia na jeneza uwanjani msanii tundaman amenyang'anywa kadi ya simba...na haikutosha mo dewji kamuambia asirudie kukanyaga ofisini kwake..
Hiyo kadi gani amenyanganywa? Simba wana kadi?
 
Mbona ile ilikuwa ni straight ritual performance kwa tundaman, simkubali kabisa kwa sababu alinichukulia demu wangu wa ujanani munira, katoto kazuri ka moshi, mtaa wa oysterbay mbuyuni...alafu akamtia mimba juu
 
Back
Top Bottom