Msanii V2 yupo wapi na nyimbo yake ya Nasonga Mbele

Kaka yake shetani

JF-Expert Member
Joined
Feb 1, 2023
Posts
5,771
Reaction score
14,732
Kipindi hiko miaka ya miaka ya 2002-2003 huyu dada alitamba na kibao chake Cha songa mbele.
Kipindi hiko chuchu sound kwa Sasa ni marehemu aliufanya mziki kuwa tofauti.

Video yake kama basata ndio ingekuwa enzi hizo wangefungia maana huyu dada pigo zake zilikuwa kama za ulaya.

Maisha Yana kwenda kasi
 
Wakati huo wimbo unatoka nilikuwa mtoto mdogo nilikuwa naupenda naimba kwa sauti ya juu nikifurahia muziki mzuri, hivi sasa naimba kwa sauti ya chini nikitafakari ujumbe.

Juu ya yote hayo wimbo huo utabaki kuwa bora kwangu wakati wote, wimbo unaoishi.
 
Kipindi hiko miaka ya miaka ya 2002-2003 huyu dada alitamba na kibao chake Cha songa mbele.
Kipindi hiko chuchu sound kwa Sasa ni marehemu aliufanya mziki kuwa tofauti...
unakumbukia zile pigo zake brazia na bikini akiogelea swimming pool. Hongera kijana kwa kuwa na umri mkubwa hivi sasa, una kumbukumbu pevu
 
Si Alishasema anasonga mbele.lazima atakuwa mbele
 
Mwanadada V2 alienda aisee na alitangaza kabisa kuwa ana ngwengwe,na usiombe kukutwa na ngwengwe la Miaka Ile.Na sidhani kama alikuwa na interst sana za muziki ila Bwan chuchu ndiye aliyemshawishi wafanye ngoma studioni kwake zenji kipindi hicho,na ilipotoka nasonga mbele ikawa moto.
 
Dah!we mdada upo...?
 
Mbona huu Uzi umeanzishwa wiki kadhaa zilizopita kwann uanzishe tena
 
Ohhhhh the good old days....nawaachia hao wenzanguuuuuuu wajaribuuuuuu kuishi na weweweeeeeeeeee
 
1. Kuna mwingine aliimba ooh pesa ooh pesa sijui anaitwa nani
2. Pia kuna Lenee Lamira kama sijakosea jina
3. Mwingine aliimba wimbo unaitwa Mgoma, mauno mengiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…