Msanii Vumilia yupo wapi?

Msanii Vumilia yupo wapi?

Rhz4567

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2018
Posts
4,893
Reaction score
6,599
Wale wakongwe wa miaka ya mwanzoni mwa 2000 hadi 2007 mtakuwa mnamkumbuka msanii waa bongofleva aitwae vumilia alitamba sana na nyimbo zake nzuri kama, tatizo ni Umasikini, Utanikumbuka na ile iitwayo Ukweli ni kwamba aliyeshirikiswa na Maru biti kali ikipigwa kwa big time production na saiid Comoriee.
 
Alikuwa fundi sana huyu dada
Sijui yuko wapi
 
Wale wakongwe wa miaka ya mwanzoni mwa 2000 hadi 2007 mtakuwa mnamkumbuka msanii waa bongofleva aitwae vumilia alitamba sana na nyimbo zake nzuri kama, tatizo ni Umasikini, Utanikumbuka na ile iitwayo Ukweli ni kwamba aliyeshirikiswa na Maru biti kali ikipigwa kwa big time production na saiid Comoriee.
Unamtaka wa nini?
 
Alikuwa ana sauti nzuri sana. Ule wimbo wake wa "tatizo ni umaskini" nilikuwa naupenda sana. Kile kimin chake cha jeans kilikuwa kinanitoa udenda 😋 mpaka basi.

Alikuwa na mwanya matata sana! Naamini anayemmiliki Vumilia mpaka leo, aisee atakuwa anafaidi sana.
 
Utanikumbuka
Tatizo ni umasikini

Ngoma ambazo nlizikubali kutoka kwa dada vumi...

THT imetoa vipaji vingi sana
 
Tatizo ni umasikin ama nini niambie nijue wazazi hawanitaki hawanithamini ........
Wanasema sina hadhi oa mwingine .......
Oooooooh
 
Alikuwa ana sauti nzuri sana. Ule wimbo wake wa "tatizo ni umaskini" nilikuwa naupenda sana. Kile kimin chake cha jeans kilikuwa kinanitoa udenda [emoji39] mpaka basi.

Alikuwa na mwanya matata sana! Naamini anayemmiliki Vumilia mpaka leo, aisee atakuwa anafaidi sana.
Ni mimi mkuu ndio nammiliki shemeji yenu huyo, kwa kweli ni binti mstaraab sana ndio maana hata nilipomkataza kuacha mziki kweli akaacha.
 
Wasanii wa kike kudumu kweye tasnia ya muziki ni nadra sana.

Hapa umefanya niwakumbuke akina Ray C, Dataz, Sister P, Zay B, Mwasiti, daah! list ni ndefu

Jide komando apewe heshima yake ya kipekee aisee! Yuko kwenye game tangu mwaka 2000 na wimbo uliomtoa "Machozi". Miaka 23 kwenye tasnia!!
 
Back
Top Bottom