Alikuwa fundi sana huyu dadaWale wakongwe wa miaka ya mwanzoni mwa 2000 hadi 2007 mtakuwa mnamkumbuka msanii waa bongofleva aitwae vumilia alitamba sana na nyimbo zake nzuri kama, tatizo ni Umasikini, Utanikumbuka na ile iitwayo Ukweli ni kwamba aliyeshirikiswa na Maru biti kali ikipigwa kwa big time production na saiid Comoriee.
Unamtaka wa nini?Wale wakongwe wa miaka ya mwanzoni mwa 2000 hadi 2007 mtakuwa mnamkumbuka msanii waa bongofleva aitwae vumilia alitamba sana na nyimbo zake nzuri kama, tatizo ni Umasikini, Utanikumbuka na ile iitwayo Ukweli ni kwamba aliyeshirikiswa na Maru biti kali ikipigwa kwa big time production na saiid Comoriee.
Umekumbuka Nini na unataka nini kutoka kwake?Nakumbuka utotoni
Ni mimi mkuu ndio nammiliki shemeji yenu huyo, kwa kweli ni binti mstaraab sana ndio maana hata nilipomkataza kuacha mziki kweli akaacha.Alikuwa ana sauti nzuri sana. Ule wimbo wake wa "tatizo ni umaskini" nilikuwa naupenda sana. Kile kimin chake cha jeans kilikuwa kinanitoa udenda [emoji39] mpaka basi.
Alikuwa na mwanya matata sana! Naamini anayemmiliki Vumilia mpaka leo, aisee atakuwa anafaidi sana.