Msanii wa Bongo Flava, Ruby amefunguka kuhusu kufanya muziki aina ya taarab na rap

Miss Zomboko

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2014
Posts
4,599
Reaction score
9,532
Muimbaji huyo ameiambia Bongo5 kuwa anaweza kufanya aina za muziki ila taarab ipo katika nafasi nzuri kwake kutokana yeye ni muimbaji pia.

“Off course I can sing taarab, hip hop pia naweza nikafanya lakini kwa sasa siwezi kwa sababu sipo katika mood ya kurap ila taarab naweza kwa sababu sauti yangu ni ya kuiamba muda wote, kurap siyo my talent but I can sit down and rap” amesema Ruby.

Ruby hajawahi kufanya kolabo na msanii yeyote wa taarab ila ameweza kufanya kolabo na rapper Wakazi pale alipomshirikisha katika remix ya ngoma yake ‘Sijutii’.





Chanzo; Bongo5
 
Hiv bado anaimba huyu dada?
 
Mfa maji...ila ni vizuri,anajaribu kupambana na hali iliyopo
 
Hivi huyu ruge ndiye ceo wa efm na etv, east africa radio na eatv, magic fm, radio free africa na redio zote hapa tz?
Kama kambania clouds kwanini asisikike huko kwingine?
Sometimes mnamvisha u mungu mtu ambao hana ruge zilipendwa wa zamaradi jamani.
Mkuu cjaona msanii akawa na bifu na clouds akaendelea ku shine Kama zaman Fanya tafit lete mrejesho
 
Ghafla kawa mzungu. Hizo nywele wamenunua duka moja na Hamoniwizi
 
Ukiona mchezaji wa ndani anakimbilia kwenda golini ujue kiwango kimeisha
 
Yaani kuanzia maproducer, presenters na DJs wengi bongo wanamapungufu sana, yaan media moja ukikosana nayo ni sawa umekosana nao wote, tatizo linaweza kuwa wengi vibaraka uchwara hasa Wa media ya Msanii mwenye ugomvi nayo
 
Ruby ndo huyo kwny picha ama
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…