Msanii wa Bongo Fleva, Ney wa Mitego ahojiwa na polisi

Wadau salaam, nimetoka jela nimerudi rasmi. Jukwaa la michezo limenitenda. Nilizomea Timu ya bonde la kambale nikashughulikia.

Sitoacha kwenda huko, Nifah timu yako imeniponza mtani.
 
basata piga life ban huyu kiumbe, hana adabu kabxa
 
Huyu jamaa ni mjinga na mpuuzi sana sijui kwanini serikali haitaki kumfungia kufanya music, anachoimba sijui ni kitu gani
Sasa ndugu ulishawahi kusikia nyimbo yoyote ya bongo fleva isiyoimba upuuzi ikifanya vyema ktk soko? Muziki ni sanaa, ukitaka kuelimisha jamii au kuipotosha unaweza, sawa polisi kutumia bunduki kulinda amani na JAMBAZI kuitumia kupoteza amani.
 
hawa maaskari hawana kazi ya kufanya
nyang'au kweli hao
 


No offense Ney wa mitego ni ms3n5e tu,asitafute hela kwa skendo za kisengx tumesha mzoea,kima huyu
 
Hivi kwa nini Vanessa Mdee hafungiwi wala kuhojiwa kwa anavyovaa kwenye muziki wake?! Au kwa kuwa hana umbile la chura?!
 
Aaah TE="mzaramo, post: 16859262, member: 267"]kwanza wawafunge wakina Mramba,Chenge na Tibaijuka[/QUOTE]
Aaah sasa hivi wako bize na Bavicha kwanza mkuu.
 
Kwahiyo hizi za nje hazina shida, au ni vile wanatukana kizungu ........wafungie hata za nje basi maana kama ni matusi wote wanatukana.
 
Hebu tuwe watu wa tafakuri kidogo...siamini kama kahojiwa kuhusu huo wimbo wake wenye maudhui mabovu...hiyo ni kazi ya BASATA, na ambacho kingefanyika ni kuufungia kisha angehojiwa na BASATA na si polisi
Huyu ana tuhuma nyingine kabisa ambazo kwa sababu zisizojulikana hazinawekwa wazi na kama kweli Kama Kamanda Siro kamhoji kuhusiana wimbo wake ambao kimtazamo unakiuka maadili ya kiafrika/kitanzania basi tunaingia kwenye enzi mpya za utendaji wa jeshi la police
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…