Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Ana muonekano bomba, lakini kichwani empty, mswazi sana
 
usafiri wake ndio mashallah tuu.
historia hajaolewa kweli huyu na jamaa wale ambao ukila vyao tuu hachelewi kutoka na mguu wa kuku.aka wakina mushi,munisi.....
 
WELLU SENGO ndo muigizaji mwenye mvuto zaidi bongo movie,,,,,
Hakuna anayemkaribia kwa lolote lile,,,,!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…