Msanii wa Bongo Movie Wellu Sengo...

Mbona hizo picha za wezere mnazificha?
 
Huyu lakini si ni mke halali kabisa wa steve nyerere mbona mnatia tamaa kwa mali za mtu
 
Yupo mzee baba anapatikana kwenye tamthiliya ya REBECCA na yeye ndio rebecca mwenyewe ,
Chaneli ya Maisha magic bongo -160 - on DSTV
Aisee ndio matdhara ya kuzarau chennels mi niko bize na Nat geo na chenel za Supersport tu. Ngj niturn nimechek mtoto mzuri balsa sana huyu. Amejaaliwa Kwakweli Waweza dindosha uderere kabisaa[emoji23][emoji23][emoji23]
 
huyu si ndo yule dem wa stive nyerere waliye achana? kazaa na mshkaj, hvo n mama watoto wa mtu huyu, sahv anajiita amina
 
Umerudi toka wapi maana ulipotea gafla nkajua labda umepata uteuzi ukanisahau
Nimerudi mamii
now ihope finally mimi na wewe tutafuta namna ya kuondoa hii 'crush' iliyopo between us..
au nieendelee kuumia kimya kimyaa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…