Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Mmmmh,Uyu Dem si Ndo Yule Wa kipind kile aliyekua na Ugomv na Marehem Amina chifupa Kua Anatembea na Mumewe Marehem Mpakanjia,Alikua anaishia Kigambon cjui by zen?
Hali kama hii tusipate tu UKIMWI kweli !
Mmmmh,Uyu Dem si Ndo Yule Wa kipind kile aliyekua na Ugomv na Marehem Amina chifupa Kua Anatembea na Mumewe Marehem Mpakanjia,Alikua anaishia Kigambon cjui by zen?
Halafu si nilisikia alikamatwa na Sembe Brazil?
Mmmmh,Uyu Dem si Ndo Yule Wa kipind kile aliyekua na Ugomv na Marehem Amina chifupa Kua Anatembea na Mumewe Marehem Mpakanjia,Alikua anaishia Kigambon cjui by zen?
staa wa filamu za kibongo, aisha bui amepata mtoto wa kike aliyejifungua kwa njia ya upasuaji lakini kumekuwa na usiri mkubwa katika jambo hilo.
Akizungumza na ijumaa hivi karibuni, aisha alisema anamshukuru mungu kwa kumjaalia mtoto wa kike aliyempa jina la saloma.
nimefurahi sana, kumpata mtoto ni jambo la kumshukuru mungu na sasa najisikia raha sana kuitwa mama, alisema aisha na kuongeza kuwa, mwanaume aliyezaa naye ni mchumba wake wa siku nyingi ambaye anaishi nje ya nchi na wanatarajia kufunga ndoa siku si nyingi.