Msanii wa bongo movies afunguka yuko tayari kupungua tumbo lakini si makalio

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Msanii wa Bongo Movies Bupe Ameongea Kuhusu umbo lake la Utata Mwingi hasa upande wa Nyuma na kusema yuko tayari kupungua tumbo lakini siyo makalio.

Hawa wasanii wa bongo ni sheedaaaa
 
ney alishaimba "makahaba wa viwango wako bongo movie bongo movie kama danguro" hii pia niushahidi tosha kuwa ney alikuwa sawa
 
ney alishaimba "makahaba wa viwango wako bongo movie bongo movie kama danguro" hii pia niushahidi tosha kuwa ney alikuwa sawa

na yeye pia ney mbona alikuwa anakula hao hao anaowaita makahaba,mwanaume anaokula makahaba anaitwaje?
 
nasikiliza wimbo wa mr.ebbo(RIP):''SIFA ZA KIJINGA''
 
Huyu naye kaigiza movie gani?? Afu bupe ni jina lake kabisa au la kutafutia wanaume, kutudhalilisha wanyaki na jina letu ndo nini mtcheeew.
 
Siku hizi bwana kila nyumba ukimkosa bongo movie utamkuta mbongo flava haya huyu nae kaigiza li muvi gani..........dah full gumashi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…