Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Yaani mark x nayo ni mafanikio?!
Aisee! Bora kwend shule. Somesheni watoto jamani
Yaani mark x nayo ni mafanikio?!
Aisee! Bora kwend shule. Somesheni watoto jamani
Barnaba rudi shule elimu yako ya muungano primary baada ya miaka 10 haitakusaidia
Money Stunna hivi huyu brother ana house? Kama ameshajenga music unalipa...
siku hizi elimu yenyewe haisaidii kukuweka juu kimaisha.kinachosaidia ni unafanya nini?
watu wanalalamika hawana ajira, mshahara mdogo wakati kuna msanii show moja analipwa million 10.
Barnaba japo hajasoma lakin amewazidi wengi kimaendeleo ata wenye masters.
siyo kila mtu anatoka kimaisha kwa kusoma. cha muhimu aweke bidii kaz anayofanya pia ajifunze ujasiriamali. hizi elimu zetu hazisaidii zaidi ya kufundisha mtu ili akimaliza akazulule kutafuta kazi
Money Stunna hivi huyu brother ana house? Kama ameshajenga music unalipa...