msanii wa bongofleva Barnaba Aonyesha Mkoko wake mpya..!!

Kupitia instagram ameonyesha nyumba yake juzi! ni nzuri amejitaid. Hongera barnaba bwoy
 
Bora Nissan Armada yangu kumbe kali lol kigari kama bata

Jaman hebu tuache wivu wa kipuuz penye mafanikio pasifiwe tu!mwenyewe ame struggle na alikuwa na ndoto ya gari aina hiyo sasa now ametimiza such dream na kapenda community ifaham hivyo lkn imekuwa nongwa kwa kupondwa badala ya kupongezwa kwa kaz nzuri anayofanya!

Kazi nzuri kaka nakupongeza big up keep up da spirit....
 

Kweli kabisa mkuu apo umenena na nakuunga mkono 100% elim ni muhim lakin sio bongo,unaweza usiwe na elimu kubwa but still ukafanya mambo makubwa na ukafanikiwa maishan kuliko hata mwenye degree.
 
Hongera sana little Brother. Usiwasikilize binadamu huwa hawakosi la kusema, usingekuwa na hilo gari wangesema oh Barnaba pamoja nakuimba kote hana kitu choka mbaya! Umepata hata hicho kidogo bado wanakandia. Damn humanity!

Umeona eenh
 
Mwishowe wataonyesha na vyupi vyao,hawa kweli wasanii wa kizazi kipya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…