Msanii wa Bongofleva Rayvanny avurugwa na shepu ya Snura kitandani wakati wa ku-shoot video

Bilionea Asigwa

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2011
Posts
16,515
Reaction score
28,506
RAY.jpg

Baada ya kutoka video ya “Natafuta Kiki” pamekuwa na zengwe, kwa kile kilichoonekana kuwa ni mahaba juu ya Snura na Rayvanny kwa lile denda zito lililopigwa kitandani.

Akipiga stori na eNewz Rayvanny amesema “Ni kweli ile scene ya kitandani ilinipa wakati mgumu sana, hasa ukizingatia ile shepu ya Snura, kuna wakati nilisahau kama tuko location”.

Lakini kwa upande wa Snura anasema yeye aliifanya ile scene kama kazi tu, kama ambavyo script ilimtaka afanye ndicho alichokifanya, na wala hakumtamani Ray.

Snura kwa ujasiri akaongeza kwa kusema “Kama script inataka nimkiss hata mwanangu ninaweza kufanya hivyo”.

Lakini pia kwa upande mwingine Ray alipoulizwa juu ya sababu za kutumia video aliyojishut na Wema katika birthday ya Romy Jones, alisema “Sina tatizo kabisa na Wema na tokea zamani nilitamani sana Wema aonekane kwenye hii video yangu, lakini ilishindikana kumpata sababu ya u-bize wake hivyo nikaona bora nitumie tu ile video tukiwa kwenye birthday ya Romy Jones”.

snura.jpg-2-532.jpg
 
Tatizo la wabongo (wanaume wa Dar) mtu akiitwa tu mwanamke watu wanachanganikiwa, yaani wao hawaangalii quality ya mwanamke.....hii kitu inawapa confidence hata mademu wasio na sura na shepu kujiona wako juu. Sasa Snura anapagawisha kivipi na kwa mvuto gani? Huku kubalehe uzeeni kuna matatizo jamani.
 
Ahahaha rudia tena mkuu....
[HASHTAG]#WanaumeWaDar[/HASHTAG]
 
Ahahaha rudia tena mkuu....
[HASHTAG]#WanaumeWaDar[/HASHTAG]

[HASHTAG]#WanaumeWaDar[/HASHTAG] wengi wao ni wale wanaofananishwa na wasichana. Machoni wanaonekana kama wanaume kumbe ni mabibi tu. Wakienda nje wanakumbatiwa na wanaume wa bara au mapedeshee. Vipi wewe huko humo maana naona umeguna.
 
Tatizo la wabongo (wanaume wa Dar) mtu akiitwa tu mwanamke watu wanachanganikiwa, yaani wao hawaangalii quality ya mwanamke.....hii kitu inawapa confidence hata mademu wasio na sura na shepu kujiona wako juu. Sasa Snura anapagawisha kivipi na kwa mvuto gani? Huku kubalehe uzeeni kuna matatizo jamani.
Uko Vizuri.
 
Hapana mkuu mi nipo huku wanapopaita 'Mkoani' ila wao ukiwaambia Dar nao ni mkoa wanaanza ligi ndogo asee....
 
Tatizo la wabongo (wanaume wa Dar) mtu akiitwa tu mwanamke watu wanachanganikiwa, yaani wao hawaangalii quality ya mwanamke.....hii kitu inawapa confidence hata mademu wasio na sura na shepu kujiona wako juu. Sasa Snura anapagawisha kivipi na kwa mvuto gani? Huku kubalehe uzeeni kuna matatizo jamani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] balehe ya mwisho tatizo
 
Dogo tulia ukue kwanza misambwanda ipo tuu ya kibongo na mbele mbele
 
Wameshapigana miti ila wanatafuta njia ya kuwaambia watu.
Hawaweza kuwa 'direct' kuhusu kupigana miti.
 
Ukiona hivyo kuna mmoja anataka kutoa nyimbo.
Kutafuta cha kuuzia.
 
Back
Top Bottom